KATIKA PICHA : Ujio wa Mtumishi wa MUNGU Dr. Morris Cerullo, Efatha
Ministry Precious Center Kibaha, ambapo amepokelewa na mwenyeji wake
Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Eliakunda Mwingira.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment