KATIKA PICHA : Msafara wa Mtumishi wa MUNGU Dr. Morris Cerullo, alipokuwa akiwasili Precious Center Kibaha, ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Eliakunda Mwingira. Ameweka Wakfu na kuzindua jengo la maombi (Prayer Tower).

Comments