Efatha Ministry Mass choir wakimwadhimisha Mungu katika Mkesha wa
hitimisho la Kusanyiko Kuu la tisa unaoendelea hapa Efatha Ministry
Precious Center Kibaha.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment