ZIARA YA KITUME NA KINABII - ZANZIBAR (IKULU).

PICHANI:
Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akisaini Kitabu chake cha "MOYO WA KIONGOZI" kwa ajili ya Kumpatia Zawadi Makamu wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Balozi Seif Ali Iddi, Ikulu Zanzibar.

Comments