PICHANI: Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Makamu wa Raisi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Balozi Seif Ali Iddi Ikulu, Zanzibar.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment