UKO TAYARI KUBADILISHA MUELEKEO WA KILE ULICHOKISIKIA: (Sehemu ya Tatu).
Tengeneza GOAL yako, Tengeneza GOAL, AMEN? Unataka kuwa NANI WEWE? Unataka KUFIKA WAPI WEWE? Tengeneza GOAL for your Achievement, sawa? Tengeneza GOAL yako. Kwa kufanyaje? Kwa KUBUNI namna gani unataka UFIKE mahali Fulani, na weka Mkazo na Msisitizo katika hicho UNACHOAMINI unataka KITOKEE.
:- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Mwenge Dar es Salaam, Tanzania, EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment