UKO TAYARI KUBADILISHA MUELEKEO WA KILE
ULICHOKISIKIA ?:
"Amua kubadilisha MTAZAMO wako wa KUSIKIA, Amua KUBADILISHA Mtazamo wako wa KUSIKIA, kwa Kusikia yale tu ambayo YATAJENGA Ubora wa Ubadae wako, badilisha Mtazamo wako wa Kusikia. Tamani KUSIKIA yale tu ambayo yatasababisha UBORA wa Maisha yako ya Baadae.
Tamani KUWASIKILIZA, KUSHIRIKIANA nao, KUFANYA nao Wale Watu ambao WAMEFANIKIWA, WAMESHINDA, WAMESITAWI katika Mazingira yale yale ambayo Wewe upo."
(Itaendelea.......)
:- Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."