Naibariki
Jumatano yangu, Jumatano yangu IMEBARIKIWA kama ilivyoamriwa na BWANA,
Nitaishi kwa AKILI NZURI, Nitatenda KIFALME, Hakuna cha Kunizuia, ROHO
YA BWANA Yu Juu Yangu, Haleluya, FURAHA Iko Nami, Haleluya, YESU
Nakupenda, Asante BWANA.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment