Naibariki
Alhamisi yangu, Alhamisi yangu IMEBARIKIWA, Nami NIMEBARIKIWA,
Nitayaweza YOTE katika YEYE Anitiaye NGUVU, Hakuna la KUNISHINDA, Ndani
ya Mbawa zake Napata Kimbilio, Haleluya, MUNGU BABA Ni MZURI, Haleluya.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment