KUSANYIKO KUSANYIKO KUSANYIKO LA BWANA 2017.
Kwa Wageni wote na wale wenye Mapenzi mema, ndani na nje ya Nchi ambao watapenda kuhudhuria hili KUSANYIKO KUU 2017, mnaweza Kujiandikisha ONLINE kupitia Website ya Huduma ( www.efathaministry.org ) na kufuata Maelekezo yote ambayo yametolewa.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."