ZIARA YA KITUME NA KINABII MKOANI KIGOMA.
PICHANI: Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Eliakunda Mwingira walipokuwa wakiwasili Efatha Ministry KIGOMA.Katika kuwasili kwao kuliambatana na UFUNGUZI wa Kituo kikubwa (Kituo Mama) cha Mkoa wa Kigoma, kilichopo Kigoma mjini maeneo ya Ujenzi, kinachoongozwa na Mchungaji Kiongozi Benson Mpelle.
Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira aliweka WAKFU JENGO hilo tayari kwa ajili ya matumizi ya IBADA.







Comments