IBADA EFATHA MINISTRY MWENGE DAR ES SALAAM:
MTUME NA NABII JOSEPHATI ELIAS MWINGIRA.
MTUME NA NABII JOSEPHATI ELIAS MWINGIRA.
Mambo MAWILI yanayoweza KUMFURAHISHA MUNGU ni:-
• (1) Moyo wa SHUKRANI.
• (2) Moyo wa KUMTAFUTA Mungu na KUTAFUTA MTU Mmoja ili AMJUE Mungu.
• (1) Moyo wa SHUKRANI.
• (2) Moyo wa KUMTAFUTA Mungu na KUTAFUTA MTU Mmoja ili AMJUE Mungu.
Ukifanya haya Mambo MAWILI kwa SHUKRANI na kwa BIDII naamini kwa MOYO wangu wote hatakama ulikuwa huoni njia katika Maisha yako Mungu ATAKUFUNGUA macho.
Mungu Anapenda MTU mwenye Moyo wa SHUKRANI, Mshukuru YEYE Mwambie Asante kwa Miguu maaana wako watu ambao hawana miguu, mwambie ASANTE kwa sababu wengine wako mochwari lakini Wewe amekupa AFYA Njema.
Safari hii tuna ajenda moja tu ya KUTAFUTA wale Wasiomjua Mungu ili WAZIACHE Njia wanazoziendea na WAMRUDIE Mungu, Utakapo mpata huyo MTU hakikisha ANAKUWA Kiroho kama Wewe. Mungu hadhihakiwi, kile utakacho fanya ndicho kitakachokuwa.
Mungu HATANIWI, na hicho Unachokifanya ndicho kitakachokuwa. AMUA Kubadilika na KUACHA yale Yasiyompendeza Mungu na fanya ili MUNGU Aakufurahie.
Comments
Post a Comment