MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA:
Pasipo kipawa tarajio la moyo linapotea kwasababu kipawa hakipo kwenye nafasi yake. Mfano:- Kuna mtu anatarajia ndoa nzuri, biashara nzuri lakini kipawa kisipochukua nafasi yake huwezi kufikia tarajio lako. Kipawa ndio uhai wako, kipawa kikianza kazi hata meno hayang'oki ovyo, kipawa kinakufanya uwe salama. Wengine wanafikiri kipawa ni kitu kidogo HAPANA, kipawa ndio uhai wako.

Comments
Post a Comment