USHUHUDA
Naitwa WillFred Kaaya, namshukuru Mungu kwa kuniponya kwani nilikuwa nasumbuliwa na Nimonia, ambayo ilinisumbua sana hata kufikia kutaka kukata tamaa, lakini Yesu alimtumia Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira alinitia moyo na kuniombea pamoja na watumishi wengine wa Efatha na sasa nimepona namtukuza Mungu, nilisimamia Neno kuwa sitakufa bali nitaishi, nawaomba watumishi wenzangu tusikate tamaa Yesu yupo pamoja nasi namtukuza MUNGU.

Comments
Post a Comment