USHUHUDA:
Naitwa Godlynne William, napenda kumshukuru MUNGU kwa matendo yake makuu aliyonitendea katika elimu yangu. Nimemaliza kidato cha sita katika shule ya Canossa High School na nimepata Division 1.9 PCM. Nilikuwa natamani kusoma course ya petrochemical Engineering na MUNGU amenisaidia nimepata hiyo course na naenda chuo kikuu . Namshukuru sana MUNGU kwani ni kwa uweza na nguvu zake siyo kwa akili zangu.

Comments
Post a Comment