IBADA YA KUPAKWA MAFUTA kwa wana Efatha wote, Kituoni Mwenge Dar es Salaam , Tanzania.
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mke wake
Mama Eliakunda Mwingira, katika Ibada inayoendelea hapa Efatha Ministry
Mwenge, Dar es Salaam-Tanzania
Kanisani Efatha Mwenge Watumishi wakiwa wamekaa katika viwanja nje ya
Kanisa wakiwa na shauku ya kuyaona maajabu ya Mungu siku ya leo, ukumbi
wa ndani umejaa
Watoto wa Sunday school walipokea upako huu pia. / The anointing was also done to the Sunday school children.
Comments
Post a Comment