WAMAMA AMBAO MMEBARIKIWA HII YA KWENU KUTOKA KWA MAMA YETU.
Wa mama ambao mmebarikiwa, mna maduka Kariakoo, mna Maduka Mwanza, Mna
maduka sehemu mbalimbali, mnaenda Dubai, mnaenda China, mmeanza kukosa
Uaminifu, hebu ACHENI, hiyo ni dhambi. Hiyo Baraka isikufanye
usimuheshimu Mumeo, usimfanye Mumeo housegirl, kama ulikuwa unamuwekea
Mumeo Maji endelea kumuwekea, Hela siyo Mume wako, Hiyo ni Maua, najua
kuwa MUNGU aliyekupa hizo hela Anakuangalia; Kubali KUBADILIKA, Kubali
KUJIREKEBISHA, Acha hiyo Dhambi.
Comments
Post a Comment