MKESHA WA MWAKA MPYA WA 2015,PRECIOUS CENTER KIBAHA

Watumishi wa Mungu wakipongezana kwa kufkia mwaka mpya 2015 mwaka wa Mtembeo wa Mungu

 Waziri wa maliasili na Utalii Lazaro Nyalando akitoa salamu za Mwaka mpya 2015 kwa wana Efatha hapa Precious Center Kibaha
"Namshukuru sana Mungu na nimebarikiwa sana na walivyo imba waimbaji, Mungu alisema katika siku za mwisho vijana watapata maono. Mungu ameifanya efatha kuwa lango la kubarikiwa Tanzania."

Nina kila sababu kucheza, Acheni nicheze, aliyoyatenda Mungu kwa wana efatha ni makubwa na anayoenda kuyatenda kwa wana Efatha mwaka huu 2015

 Mama Eliakunda mwingira akiongoza maombi...
Mungu wetu upewe sifa mwanaume wa wanaume upewe sifa Efatha mass choir wakimwabudu na kumsifu Mungu. Hakika ni siku ya kipekee sana hasa kwa waliopata kibali kuwepo mahali hapa


Comments