IBADA KUU TAREHE 11/01/2015 EFATHA MWENGE.
Mch. Victor Gasper Malamla akifundisha katika ibada ya pili Efatha Mwenge Dar es salaam
Efatha Mass choir wakimtumikia Mungu kwa uimbaji mkuu.
Bwana Emilot ambaye amemwamini Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, na maono ya mke aliye muoa aliyapata hapa Efatha na mke wake kujifungua salama aliamua kuchora picha ya Mtumishi na leo alikuja kumpa zawadi kama shukrani.
Watumishi wa Mungu wakifuatilia mafundisho katika ibada ya leo

Comments
Post a Comment