IBADA KUU JUMAPILI 4/1/2015
Efatha Mass choir wakimsifu Mungu wetu Ibadani. Mungu awabariki sana mnabariki wengi kwa uimbaji wenu
Pichani: Mchungaji Kiongozi Efatha Mwanza Victor Gasper Malamla akifundisha Neno katika Ibada ya kwanza Efatha mwenge alivyo Baba ndivyo alivyo mwana
Mungu wetu ni Mungu aokoaye na afunguaye, ngugu zetu wametoa maisha yao kwa Yesu na Yesu amewatendea Muujiza wa uponyaji na kuwafungua walio na vifungo mbalimbali.

Comments
Post a Comment