We are on follow us live. direct from Efatha Kibaha precious Center

Get us live from  www.mixlr.com/efatha

Usikate Tamaa na Ndoto zako, Dont give up with your dreams....Mtazame Yosefu leo anakushuhudia Maisha yake...Aliota Ndoto akachukiwa na Ndugu zake lakini alishikilia ndoto zake, akatupwa shimoni lakini aliendelea kushiriki ndoto zake, akauzwa utumwani lakini akaendelea kushikilia ndoto zake, akashawishiwa na mke wa bosi wake atembee naye lakini alikataa alishikiria ndoto zake, akatupwa gerezani akaendelea kushiriki ndoto zake....Nawe leo Yosefu anakuambia Usikate Tamaa na Ndoto zako:Pastor Michael.

Comments