Usiku wa Mwisho wa Kusanyiko kuu tupate live kwa www.mixlr.com/efatha

Haleluya Wana wa MUNGU, ni Muda mwingine mzuri wenye UTUKUFU na NGUVU ya MUNGU wetu MKUU katika Usiku huu wa Siku ya Saba ya Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU wetu MKUU. 

YEYE ni MUNGU wetu MKUU, YEYE ni BABA yetu Kipenzi, ametualika, ametuita Wanawe katika Mji wake Precious Centre, ili tuje Tuongee naye, Tuje tusikilize Mafundisho yake Mazuri na Mausia Mema kwetu wanawe, Ametuita ili tuje kuuona UPENDO wake kwetu, Ametuita ili aje Akae nasi wanawe.

BABA alimwambia Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, kuwa "YEYE BABA Yetu MUNGU MKUU Anataka aje KUTUKUMBATIA, ANATAKA ATUONYESHE UPENDO WAKE WA KIBABA KWETU WANAWE", BABA yetu alisema kuwa "HATAKUJA KWETU kama MUNGU, au kama BWANA bali kama BABA, na Fahamu, YEYE kama BABA akishuka UPONYAJI, KUFUNGULIWA, KUWEKWA HURU, BARAKA Zinashuka pamoja naye, ndio maana tumekuwepo hapa kwa muda wote huu wa Siku saba mpaka sasa.

Tunampenda MUNGU wetu, YEYE BABA yetu, Tunampenda, Tunamfurahia, Tunampenda.

Kipindi cha Usiku kimekwisha anza, na sasa kwaya ya Efatha Ministry Arusha ndio wako Madhabahuni Wakituongoza katika Nyimbo za SIFA na KUABUDU kwa BABA yetu MUNGU MKUU.

Nawe unaweza kujiungamanisha nasi katika Usiku huu kwa kuungana nasi LIVE STREAMING kupitia www.mixlr.com/efatha, pia na kwenye Television yetu ya EFATHA MINISTRY (TRENET) tunapatikana pia.

Ubarikiwe Mwana wa MUNGU.

Photo: Haleluya Wana wa MUNGU, ni Muda mwingine mzuri wenye UTUKUFU na NGUVU ya MUNGU wetu MKUU katika Usiku huu wa Siku ya Saba ya Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU wetu MKUU. 

YEYE ni MUNGU wetu MKUU, YEYE ni BABA yetu Kipenzi, ametualika, ametuita Wanawe katika Mji wake Precious Centre, ili tuje Tuongee naye, Tuje tusikilize Mafundisho yake Mazuri na Mausia Mema kwetu wanawe, Ametuita ili tuje kuuona UPENDO wake kwetu, Ametuita ili aje Akae nasi wanawe.

BABA alimwambia Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, kuwa "YEYE BABA Yetu MUNGU MKUU Anataka aje KUTUKUMBATIA, ANATAKA ATUONYESHE UPENDO WAKE WA KIBABA KWETU WANAWE", BABA yetu alisema kuwa "HATAKUJA KWETU kama MUNGU, au kama BWANA bali kama BABA, na Fahamu, YEYE kama BABA akishuka UPONYAJI, KUFUNGULIWA, KUWEKWA HURU, BARAKA Zinashuka pamoja naye, ndio maana tumekuwepo hapa kwa muda wote huu wa Siku saba mpaka sasa.

Tunampenda MUNGU wetu, YEYE BABA yetu, Tunampenda, Tunamfurahia, Tunampenda.

Kipindi cha Usiku kimekwisha anza, na sasa kwaya ya Efatha Ministry Arusha ndio wako Madhabahuni Wakituongoza katika Nyimbo za SIFA na KUABUDU kwa BABA yetu MUNGU MKUU.

Nawe unaweza kujiungamanisha nasi katika Usiku huu kwa kuungana nasi LIVE STREAMING kupitia www.mixlr.com/efatha, pia na kwenye Television yetu ya EFATHA MINISTRY (TRENET) tunapatikana pia.

Ubarikiwe Mwana wa MUNGU.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."