Pastor Michael Kutoka Uingereza.

















Wewe ni nuru ya Ulimwengu, Kitu ndani yako, Wewe ni Nuru ya Ulimwengu, wewe tayari ni Kichwa na sio Mkia, wewe tayari ni wa kwanza na sio wa Mwisho, Lakini leo hii watu wanajaribu kutaka kuwa vile tayari ndivyo walivyo. shetani alimdanganya  Hawa kuwa akila tunda atafanana na Mungu, wakati tayari Neno linasema Mungu alituumba Kwa mfano wake, Hatuhitaji kuwa Kama Mungu,Wewe ni Nuru ya Ulimwengu, Live from EFATHA PRECIOUS CENTER KIBAHA.

Mungu hakumwangalia Musa Kama mtu mwenye Kugugumizi, ambaye hawezi Kusema bali alimuangalia Kama Mkombozo wa Wa Taifa La Israeli.

We are the world Changers, we are the light of the world,

Good news!!!
For those who are using Smartphones; You can join us by downloading Mixlr android application from Google Play store...Look for Efatha Channel.


Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."