OMBEA WANAO: -Watengwe na yule ibilisi muovu. -Watengwe na uovu, dhambi. - Watengwe na kizazi cha uovu. - Watengwe na watoto watukutu. -Watengwe na ya duniani. OMBEA WANAO: - UKUTA wa MOTO uwakinge na yule ibilisi shetani.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment