Mimi ni MOTO, Nimebeba MOTO, shetani akimbia,..... (KUSANYIKO KUU LA
BWANA 2014 Efatha Kibaha Precious Centre laendelea, leo ni Siku ya Pili,
Usikose Mwana wa MUNGU.)
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment