Jioni ya Usiku wa Tarehe 7 Kusanyiko Kuu!

IBADA YA JIONI  SIKU YA TAREHE 7/10/2014
NA MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII J.E.MWINGIRA

·         Huwezi kuwa na busara na wakati huo huo unakua mtu mwoga, ukiwa jasili ni lahisi sana wewe kuwa na busara
·         Hekima au busara inakusaidia wewe kukaa katika njia ipasayo,
·         Hekima inakusaidia wewe kusimamia kile unacho kijua
·         Hekima ile itakayo kusaidia wewe kukaa wewe katika mwelekeo wa kiungu
·         Ukiwa jasiri haiwezekani ukatikiswa kwa vitu vyakupita

Watu wa kiyaudi walipokua wakitoka Misri kuelekea nchi ya kaanani kulikuwa na njia rahisi sana kupita katika bahari njia ambayo ilikua na mabonde litaka yeye kuwasaidia na kujibu imani yao na kujibu tumaini lao huwezi kuwa jasiri kama hutopita katika majaribu. Huwezi kuwa na tumaini kama huna usaidizi.

Ujasiri utakusaidia wewe kuingia katika imani yako. Ndio maana Mungu alinichukua katika bahari ya shamu kwanini Mungu alitumia njia ile Mungu alitaka kutumia njia ile ili kutaka kumaliza adui zao pale unapoona kizuizi elewa kwamba mda wa kisasi unakuja.katika mtembeo huu wa imani kuna maadui wengi, Mungu anaweka baada ya changamoto ili aweze kuleta kisasi. Kwasabu Mungu ni mwaminifu ataruhusu wakutege au wakusumbue ili wapate hasira juu yao,  wanapokulipa kisasi usilie unapo ona maadui wanakuja jirani yako maana muda wa kisasi unakuja, lakini nashangaa kuona waamii wanalia wanapoona, wanakuchekwa wanapoona watu wanakuja, kinyume chao na wengine wanakuja wakisema kwasababu tuna dhambi sikiliza sijafanya jambo lolote bado wale watu wajinga wanao kuja kinyume changu. Kuwa jasili mwanangu usisukumie zambi kwa mambo yakupita kuwa na ujasiri unajua nini pia Mungu anataka kutumia kizuizi ilikwamba uweze kupata ushuhuda.

Mungu anapokuona unaujasiri anaweka agano na wewe. Kwasababu Mungu hawezi kuweka kwa mtu mwoga






Comments