Give to the parents according to your level.

Ni aibu tena ni Laana, wakati wewe Umevaa suti na Baba yako anavaa malapumalapu, Ni aibu tena na Laana, wakati wewe unalala sehemu nzuri Mama yako analala kwenye sehemu ya shida, Ni aibu tena na Laana wakati Wewe unakaa kwenye Nyumbani nzuri ina choo cha kuflash na unakaa vizuri wakati mama yako anakaa Kijijini akitumia karabai, Siku hizi kuna Solar, Mnunulie Solar. Wewe unakaa kwenye nyumba yenye Kiyoyozi halafu Mama yako anakaa kwenye nyumba ya Tembe, Wewe unakula Nyama za kuchoma, nyama za Kukaanga na Mama yako anakula Mlenda…. Halafu unataa MUNGU AKUAMINI.

SIKILIZA Wakati wewe Unakuwa, YEYE (Baba yako, Mama yako) walikuwa wanakuangalia kama Umekula, Lakini wewe leo hii utaki kujua kama wamekula.

Unapowatunza Wazazi, Unavunja vile vizuizi vilivyowekwa.

Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA PILI" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania) pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet).

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."