By Bishop Mark Kariuki Efatha Precious Center
Waliokucheka, Waliokudharau, Waliosema hutazaa, Waliosema Hutajenga Nyumba, Waliosema Hutafanikiwa,Waliosema Hutaweza, Waliosema utakufa, Waliosema Utafilisika, Waliosema Utafeli Mitihani, Waliosema Hutamaliza Shule,Waliosema Hutaolewa, Hutaoa, Hutakuwa na pesa,Waliosema Hutashinda Ndio Watasema Bwana amewatendea Mambo Makuu"
Pokea Miujiza Yako Kwa Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye Hai.
Pokea Miujiza Yako Kwa Jina la Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye Hai.
Comments
Post a Comment