BREAKING NEWS: Tumepata Watoto 11 mpaka sasa, Yaani WATOTO 11 (Wa Kiume 6, wa Kike 5) wamezaliwa katika KUSANYIKO HILI KUU LA BWANA 2014 hapa katika Mji wa BWANA Precious Centre, wamezaliwa katika Dispensary yetu iliyoko hapa Kibaha Precious Centre,..... SIFA na UTUKUFU Tunamrudishia MUNGU wetu MKUU Aliye BABA yetu. Efatha Ministry kimbilio la wote; UPONYAJI na UKOMBOZI kwa Damu ya YESU KRISTO. --------------------------------------------------------------------------------------------- Moja kwa Moja "LIVE- SIKU YA TANO" toka EFATHA Kibaha Precious Centre-Tanzania pia LIVE STREAMING kupitia Simu yako ya Mkononi na Mtandao (Internet) .... Ungana nasi LIVE STREAMING

Comments