SHUHUDA IBADA YA PILI 10/8/2014

Dada Emmy
Natokea Gongolamboto nilikuja Dar es Salaam nikafikia kwa mama mkwe kwa ajili ya kujifungua mama mkwe akanishuhudia matendo makuu ya MUNGU yanayotendeka ndani ya Huduma ya Efatha, mama yake alinifundisha umuhimu wa matoleo ya ZAKA fungu la Kumi. siku moja nilikuja kanisani siku hiyo Baba aliwaita wajawazito na mimi nikaombewa nilijifungua salama pasipo matatizo yeyote. LEO nimekuja kumshukuru MUNGU wa Efatha.



Comments