KONA YA EFATHA MIKOANI NA NJE YA NCHI

EFATHA MINISTRY KILIMANJARO, Mchungaji wake Kiongozi ni Mch. Oscar Mgaya

Mtumishi wa MUNGU Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Kilimanjaro, Mch. Oscar Mgaya akipita na kuwawekea mikono na kuwaombea mmoja mmoja wote Ibadani (Jumapili tarehe 3 August 2014)
 

 Pichani: Mchungaji Kiongozi na Mama Mchungaji na Wachungaji Wasaidizi wakiwa katika Kumuimbia na Kumchezea BWANA MUNGU wetu MKUU, jana Ibadani tarehe 3 August 2014

Pichani: Hii ni Office ya Mchungaji
 Pichani: Hayo ni Mazingira mazuri yanayozunguka Hema ya BWANA.

  Pichani: Ni Shule ya Watoto, Efatha Ministry Kilimanjaro KDC Day Care Centre



EFATHA MINISTRY RUVUMA

 Pichani:  ni Ibada ya Ubatizo ukiwa unafanyika, Wana wa MUNGU wanauzika Utu wa Kale, Picha nyingine ni Ukombozi (Deliverance) ukifanyika kwa Wana wa MUNGU. Efatha Ministry Ruvuma inaongozwa na Mchungaji Kiongozi Mch. Philipo James.


EFATHA MINISTRY KAGERA.
Pichani:hiyo ndio ilikuwa Hema ya BWANA ya Mwanzo kabisa wakati Huduma ilipokuwa inaingia Katika Mkoa wa Kagera tayari kufanya Kazi tuliyotumwa na BWANA wetu YESU KRISTO.



 Unaweza kuona ile NGUVU ya KITUME na KINABII inavyotenda kazi kwa Picha hizo hapo chini,... UTUKUFU hadi UTUKUFU, Sifa na Utukufu ni kwa BWANA wetu YESU KRISTO


 Pichani: Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Kagera Mch.David Mshana akiwa katika shughuli za Ujenzi.



Comments