Uzao wa kishezi hauna adabu, hauna heshima. Ukimpa madaraka uzao wa kishenzi jambo la kwanza kwake litakuwa ni kuangalia hapo Officini achukue nini. Uzao wa kishenzi mfano akiwa dereva, akienda garage ataongea na kijana wa garage na kumwambia chukua matairi haya mazima, chukua spare hizi nzima nenda kauze na funga mbovu, Huyu ni wa uzao wa kishenzi.: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."