Usimuendee MUNGU kwa maombi yenye mashaka, Usimuendee MUNGU ukiwa na Mashaka. Changamoto unazozipitia zisikuondoe kwenye kusudi la KIUNGU, changamoto unazozipitia zisikuondoe kwenye Imani yako. : Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments