"Laana basi, Mahangaiko basi, Shauku basi, Madeni basi, Vidonda vya ndani basi na ZIMESHINDWAAAAAA.....kwa JINA LA YESU KRISTO kwa Neema na Baraka za UBABA"
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Uovu wa baba zetu umefutwa katika viganja vyetu, tuko huru kwelikweli Ameeeen!!
ReplyDelete