Haleluya,... YESU wetu ni MZURI, MUNGU wetu ni MZURI, ROHO MTAKATIFU Ni Mzuri, Ibada zimekwisha na Uwepo wa MUNGU wetu MKUU tumeuona, ROHO MTAKATIFU Akitawala, MUNGU MKUU BABA Yetu akimtumia vizuri Mtumishi wake Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira kutupatia Chakula kizuri cha Kiroho,... Oooh Haleluya: "Jinsi gani ya kuishi na kupata KIBALI?... Kuna Protocol/Njia/ Principal/Kanuni/Utaratibu wa Kupata KIBALI. Mfano Treni ina njia yake, bila hiyo reli treni haiwezi kwenda,... kaa kwenye reli, kaa kwenye NJIA husika ili uweze kupata hiko KIBALI, bila kukaa kwenye hiyo Reli au ukikaa nje ya Reli, huwezi kupata KIBALI..."


Comments

  1. Jesus is great mama eliakund say when you sit in the right way you will receive and face big hand of Lord and he will help you for anything you like ....but if you stay And work out of the train way you will never see. God so plz just stay inside of train way barikiwa.......name katufundish kwamba tusihangaike tutulie katika njia ya train isio line wala haisezi pita njia nyingine said ya ile ya kasem tusihangaike tutulie name Mungu attushindia

    ReplyDelete

Post a Comment