UTAJUAJE UMEKOMBOLEWA?
Zab 1:3 “Kila Alitendalo litafanikiwa”,
Ayub 22:28 “Nawe Utakusudia Neno nalo litathibitika kwako”.
Ayub 22:21 “mjue sana MUNGU ili uwe na amani, ndivyo mema yatakavyokujia.
Hatua ya kama UMEKOMBOLEWA kila unachokifanya Kinafanikiwa. UKOMBOZI ni kwa ajili ya Mafanikio yako hapa Duniani siyo Mbinguni. Usikubali kufa kabla ujafaidi maisha hapa duniani, Usikubali kujitiisha kwa adui eti kwasababu shida fulani, bali JITIISHE kwa MUNGU awezaye kukushindia shida zote. :- Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira.

Comments
Post a Comment