umewekwa juu pamoja naye (YESU KRISTO Bwana wetu) katika Ulimwengu wa Roho. Kwa hiyo tumeketishwa na MSHINDI, hapa hoja ni USHINDI. Kanisa la YESU KRISTO lazima liweke Records (kumbukumbu), Usiishi kama msindikizaji... lazima Uweke records, wewe ni Mshindi, Sisi tunaomwamini YESU KRISTO Tunao USHINDI.

:- Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira.

Comments