SIKU YA KUJONGEA NYUMBANI MWA BWANA (ya kumsikiliza mkalimani wetu)

Wapendwa karibuni  tujongee nyumbani mwa bwana kesho siku ya jumapili,ibada ni kama ifuatavyo:

IBADA YA ASUBUHI-INAANZA SAA MOJA ASUBUHI

IBADA YA MCHANA-INAANZA SAA TANO  ASUBUHI

Karibuni wote!!!

(wawili au watatu wakusanyikapo kwa ajili ya jina langu,nami nitakuwa pamoja nao).

sasa sisi tu zaidi ya watatu je hatoshuka?????

Comments