Kwa sababu wewe sio ulioniita, Oooh Haleluya, Aliyeniita YUKO HAPO JUU na ANANIANGALIA, Jinsi ninavyotembea huku Duniani, NAKANYAGA pepo kushoto, nakanyaga jini kulia, nikitembea mapepo yanalaza mbio, wachawi wanatawanyika, Maana nina Upako wa KIFALME, na WEWE POKEAAA.

:- Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira.

Comments