KAMBI YA VIJANA KIBAHA PRECIOUS CENTRE Dec 2013
Vijana wa YESU, Vijana wa Efatha siku ya Kwanza walipokuwa wakielekea Kibaha tayari kwa Kambi yenye NGUVU ya MUNGU Wetu MKUU...
Mojawapo wa Watumishi wa MUNGU Wapakwa Mafuta wa BWANA MUNGU Wetu, wanaohudumu katika Kambi hii.
Mtumishi wa MUNGU akitoa Mafundisho yenye UPAKO WA NGUVU YA MUNGU Wetu MKUU kwa Vijana walioko Kambini Kibaha Precious Centre.
Wana wa MUNGU Vijana wa YESU KRISTO wa Efatha, wakipokea Mafundisho na Mahubiri na Maneno yenye Hekima na Ufahamu pia wakihudumiwa Kiroho .... Efatha:Healing & Deliverance by the Blood of JESUS CHRIST... Haleluya!!!

Bwana yesu asifiwe
ReplyDelete