IBADA YA JUMAPILI DEC 15, 2013.

Haleluya,... MUNGU Wetu ni MZURI SANA, YESU Wetu ni MZURI SANA. Tunamshukuru BWANA wetu kwa Ibada nzuri iliyokwishamalizika, Chakula cha Kiroho kilikuwa kitamu sana, BWANA Wetu Alitulisha vema, Alitugusa katika Mahitaji yetu, Aliona Mioyo yetu Inahitaji nini, BWANA Alishuka na Kutuponya, Alishuka na Kutuweka Huru, BWANA Alikuwa nasi kupitia Mtumishi wake Mchungaji Kiongozi wa EFATHA MINISTRY Arusha, Mchungaji Tumpe Rabarn.

''Kazi ya MUNGU BABA ni KUKUTUKUZA''



 ''DAI MASHANGILIO YAKO kwa kuwa Wewe ni wa UZAO WA EFATHA.'' :- Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Arusha, Mchungaji Tumpe Rabarn.


 “Wakati adui anakaa kikao na kupanga Kukuharibu; MUNGU naye Anaongea na Watumishi wake, Anapanga KUKUINUA na KUKUTUKUZA”



Comments