USIKU WA EFATHA INTELLECTUALS REDEMPTION NIGHT

Redemption Night Efatha Intellectuals at UDSM, Mlimani Campus.
 Vijana wa YESU wakihudumu kwa Kuimba katika Usiku wa Efatha Intellectuals Redemption Night, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania Mlimani Campus.


 Mtumishi Suzzana Mungy akitoa Somo na Kuhubiri katika Usiku wa Efatha Intellectuals uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania Mlimani Campus wiki iliyopita.


 Wana wa MUNGU Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Efatha Intellectuals Organization wakiwa katika Usiku wa Redemption Night, Wakimuabudu na Kumsifu na Kumtukuza MUNGU wetu Aliye MKUU MMUWEZA WA YOTE.


 Hawakuwa nyuma wapiga vyombo Vijana wa YESU katika Usiku wa Efatha Intellectuals Redemption Night.



Comments