MAHUBIRI
MAHUBIRI: MTUMISHI WA MUNGU Mkalimani Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira kuhusu ''MWAKA WA MASHANGILIO''
''Na huu ndio Mwaka wako, Utashangaa Vifungo vingine vilikuwa havieleweki na Wanadamu, hata Wewe mwenyewe ulikuwa Ukielewi, LAKINI kwa vile Amesema katika Yeremia “Kwamba Macho hayajaona wala Sikio halijasikia Mambo magumu makubwa Usiyoyajua Anaenda kuyaweka Wazi”, na Sasa Utaona Uhalisia wa kuwekwa HURU. Nina Amini kwa Moyo wangu wote, kwa Moyo wangu wote Jambo hili la Wewe kuwekwa Huru, Wengine watakasirika nalo, Wengine Watashangilia nalo. Wakati Mimi nawekwa Huru na Mkandamizo wa Kiukoo, mkandamizo wa Kifamilia, mkandamizo wa Kijamii, mkandamizo wa Kabila, mkandamizo wa Kijiinsia, mkandamizo wa namna nilivyokuwa wakati Unafunguliwa, na Nikawekwa Huru ili kuwa kama Kichekesho.''
(Yataendelea kesho Mwana wa MUNGU, Usikose huu ni MWAKA WAKO WA MASHANGILIO...)

Comments
Post a Comment