KUMBUKUMBU YA KUSHEHEREKEA MIAKA 20 YA NDOA YA MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA
UTUKUFU kwa MUNGU Wetu MKUU,... Ni mahali pazuri Hemani mwa BWANA tunaingia kwa Furaha na Shangwe...

Watumishi wa MUNGU wakipongezana baada ya Kuvishana pete katika Kusherekea Miaka 20 ya Ndoa Takatifu leo.
Watumishi wa MUNGU toka nje ya Tanzania (Namibia na Uingereza) wakiwa Hemani mwa BWANA wakishuhudia sherehe ya Miaka ya 20 ya Ndoa ya Watumishi wa MUNGU Mtume na Nabii.
UTUKUFU kwa MUNGU Wetu MKUU
Mtumishi wa MUNGU Mark Kariuki akihubiri katika Ibada hii,...
Pete zikiwa ndani ya Mafuta Matakatifu toka Isreal ya Mizeituni yakiyokwisha Ombewa tayari kwa ajili ya Ibada hii ya Kumbukumbu ya Miaka 20 ya Ndoa ya Watumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat na Mchungaji Eliakunda Elias Mwingira leo (sasa hivi Ibada inaendelea) tarehe 23 November 2013 Efatha Mwenge Dar es Salaam, Tanzania.















Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.
ReplyDeleteNiliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159
Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.
Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.
Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.
Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.
Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.
Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi