JUMAPILI YA UIMBAJI NA KUCHEZA MBELE ZA BWANA
Kabila la wapogoro wakiimba na kucheza ngoma ya asili yao wakimtukuza MUNGU.
Kabila la Wachaga wakimtukuza MUNGU kwa kuimba na kucheza kwa ngoma ya asili yao ya kichaga,Duhhh kwa YESU raha sanaaa vya mwilini tukivirudisha rohoni mambo yanapendeza kabisaa,na Bwana Mungu anatufurahia.
Kabila la wahaya nao wakasema hapana na sisi tutamtukuza Bwana MUNGU wa majeshi aliyetuokoa na kutupigania bila ushuru wowote,wakicheza ngoma ya asili ya kihaya.
Wenye mji wao hao wakiwakilisha kumtukuza Bwana wetu YESU,Wazaramo hao.
Comments
Post a Comment