ZAWADI KUTOKA KWA BABA YETU MWINGIRA



Wana wa Efatha wakijipatia uji safiii,zawadi toka kwa baba jioni baada ya mfungo wa siku nzima.



Na maandazi kwa wingiii.Ni furaha kukutanika pamoja wana wa BABA aliye juu na kupata mlo pamoja.Wadau niwaulize hivi na mbinguni si itakuwa ni hivihivi  aaaaaa No ni zaidi ya hivi wapenzi.Wote mlio nje ya YESU karibuniiii maana hiii ni zaidi ya ubwete ubwete kama Baba yetu Elias Mwingira asemavyo kuwa tutakula kwa ubwete ubwete.


Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."