God is the CREATOR, HE created Heaven and Earth. Therefore what am going to talk is about HEAVEN and EARTH. This PROTOCAL I am teaching will tell you about things of Heaven and Earth.
I am talking about Gifts, Ministry and Work; therefore I am starting with WORK.
The Bible says the OWNER is GOD, 1 Corinthians 12:6 “There are different kinds of working, but in all of them and in everyone it is the same God at work”. Who is the doer? The owner of these works is God and the doer is God, 1 Corinthians 3:9 “ For we are co-workers in God’s service; you are God’s field, God’s building”. You are God’s field, God’s building, and you are supposed to know that the Executer is GOD, you are just a labour. Proverb 8:21-22 “bestowing a rich inheritance on those who love me and making their treasuries full. 22 The LORD brought me forth as the first of his works, before his deeds of old.” When we talk about PROTOCOL we talk about POSITION and RESPONSIBILITIES.

©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Translation:


Mungu ni MUUMBAJI, Aliumba Mbingu na Nchi. Kwa hiyo mambo nitakayozungumzia ni kuhusu MBINGU na NCHI. ITIFAKI hii ninayo kufundisha itakueleza mambo ya Mbinguni na ya Duniani.

Nazungumzia Karama, Huduma na Kazi; kwa hiyo naanza na KAZI.
Biblia inasema MMILIKI ni Mungu, 1 Wakorintho 12: 6 “Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.” Mtendaji ni nani? Mmiliki wa hizi Kazi ni Mungu na Mtendaji ni Mungu, 1Wakorithio 3:9 “Maana sisi tu wafanya kazi pamoja na Mungu;  ni shamba la Mungu, ni jengo la Mungu.” Nyinyi ni shamba la Mungu, ni jengo la Mungu, na unatakiwa kujua kwamba Mtendaji ni MUNGU, wewe ni Mfanyakazi tu. Mithali 8:21-22 “Niwarithishe mali wale wanipendao, Tena nipate kuzijaza hazina zao. :22 BWANA alikuwa nami katika mwanzo wa njia yake, Kabla ya matendo yake ya kale. ” Tunapozungumzia ITIFAKI tunanzungumzia NAFASI na MAJUKUMU.

©Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.


Comments

Post a Comment