Mshangilie Baba Heshima utukufu upewe wewe ushangiliwe Baba,wow Wana wa Mungu sifa ni kwa Bwana Yesu aliyeifanya siku hii Na Tumuinue maana anastahili.Haleluyah
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment