UZINDUZI WA KUSANYIKO KUU LA EFATHA 2013

Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa Madhabahuni akifungua Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu MKUU wa Efatha, Asante YESU.
  

Ufunguzi wa Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu Aliye MKUU na MMUWEZA jana Tarehe 07October 2013 Kibaha Precious Centre Mji wa BWANA.


Waimbaji wakiimba na kucheza mbele za Madhabahu ya BWANA BABA MUNGU Wetu MKUU,... Katika Ufunguzi wa Kusanyiko KUU la BWANA Takatifu 2013
  
Ni Shangwe na Furaha tele, Nyumbani kwa BWANA MUNGU wetu BABA MKUU,... Ooooh Haleluyaaaa, Asante YESU, Tuko Nyumbani mwa BABA katika Mji wake Mtakatifu Precious Centre!

 
Haleluya,... MUNGU wetu ni MKUU, Oooh Shangwe na Furaha tele... Mwaka wa Mashangilio...

Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu limeanza jana Usiku,... Oooh UTUKUFU ni Kwa BWANA Wetu YESU KRISTO Aliye Hai, Haleluya.
  




Comments