Ukristo ni udhihirisho wa "UFALME WA MUNGU." Ukristo ni maisha halisi ya Mungu ndani ya maisha ya mtu. Maana yake ni kwamba Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu wamekubali kuwa nawewe. "DHIHIRISHA UKRISTO WAKO."
© Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira (Efatha Ministry).

Comments